Burundi Transparence
main image
shadowshadow

 Habari

 

Watiwa mbaroni sababu ya kusoma taarifa kwenye mtandao
Le 18 janv. 08

Ijuma, tarehe 04/01/2008, watu wawili walitiwa kiziwizini na Polisi wa mkoa wa Kirundo kwa kosa la kukutwa na habari za kwenye mtandao. Vitendo hivyo vya unyanyasaji wa wananchi vinaongozwa na Burikukiye Victor na Ruvuna Oscar ; wakuu wa mkoa wa Muyinga na Kirundo na wao wakipewa amri na Mheshimiwa Rais.
 

Ikumbukwe kuwa katika wilaya ya mkoa wa Muyinga wananchi kumi walitiwa kiziwizini siku ishirini na polisi ya hapo kwa jambo hilo tulilo taja hapo juu.

Tutawafahamisha kuwa Rais wa jamuhuri aliahidi wananchi kuwaraisishiya upatikanaji wa habari. Ndipo alipo ondowa ushuru wa forodha kwenye vyombo vya kupeperusha habari, na kupunguza madeni ya mashirika ya habari.
Kama kawaida yake kumuea vigumu kutimiza ahadi zake.
Hadi leo, wananchi ahadi hiyo haijaweza kuwafikiya, nawale ambao wamefanikiwa kupata habari hizo, vyombo vya dola vinawanyanyasa.

Tunamaliziya kwa kupongeza mashirika yakuteteya haki za raia kwa kazi wanaofanya ili inchi yetu iwe ya amani na ambapo hazi za binadamu zinaheshimiwa.

 

Burundi Transparence

 

horizontal bar

 

Burundi Transparence © 2007