Burundi Transparence
main image
shadow shadow

 

Anayetaka kumfaham Muhamed Rukara? Nfasi nzuri ndo hiyi.

Le 13 avril ‘07

Bwana huyu kazaliwa katika familiya yenye mwendo wa wastani kutoka kwa baba yake Mzee khalfani rukara maarufu ya kutosha alikuwa akifanya shughuli kama mpishi pindi za utawala wa Mfalme Mwambutsa Bangiricenge.bwana huyu M R alianza maisha yake katika shule ya msingi hapo buyenzi ikiitwa bassin hadi darasa la tano ilipoonekana kiwango chake dhaifu,alijiunga kwenye shuke ya msingi ya quor-an buyenzi 17 av kwa mwalim hilali ambapo alikutana na aliyekuwa sheihk mkuu zama hizo sheihk Kadum alipomsaidiya kumuombeya ada ya shule Saoud-Arabia huku akitegemeya atamkuta kaka yake alikuwa mshauri wa Balozi wa Balozi wa burundi katika nchi ya (S.A),lakini kutokana na uzembe na akili ndogo toka shule ya msingi bahati ya kuendeleya ilikuwa finyu sana.lakini damu ni nzito kulikoni maji kaka yake huyu hakuchoka akajaribu kumsogeza mbele ki elimu kwa kumuandikisha kwenye shule nyingine mjini Madina, sasa hapo ndiyo ikawa mwanzo wa majuto na masikitiko,sababu bwana huyu alianza kushtumiwa mara tele na viongozi wa shule kwa wizi wa aina mbali mbali hadi Mudir ama Directeur wa shule alipoamuwa kumfurusha shule pamoja na wenziwe wa nne bila kujali wadhifa wa aliyekuja kumuombeya na fasi,na ikamfanya bwana huyu kuanza kutumiya porojo nyingi ili aweze kujisogeza mbele ki maisha na hujifanya msalihina sana na ni mtu asiye kata tamaa siku moja alikutana na Mganda mmoja anaeshi hapo (S.A)na anaeleweka vema katika familiya za kifame alimuomba amsaidiye kumpatishiya kazi,ndipo alimuombeya kuwa mtangazaji wa vipindi mbali mbali na burudani katika lugha ya kiswahili, siyo kama muandishi wa habari katika radio hiyo, jaribuni k ukutafautisha.
Baadaye hapo akaanza kujenga kirafiki na familiya za kifalme akiwa na huyu Mganda na kujitambulisha kuwa yeye ni miongoni katika familiya za kifalme na
akitanguliza zaid jina la baba yake maarufu tena alikuwa mfanyakazi mzuri
kwa mfalme, akafikiya hadi kuwa na maelewano mazuri na Docta Abdallah Nasif ambaye bila kukawiya bwana RM hakuchelewa kuomba kuwakilisha <Muslim Congress>kanda ya Africa mashariki na kati.maombi yalikubaliwa bila pingamizi na kumshukuru bwana R M kujitoleya kutumikiya shirika hilo na anatoka katikia familiya za kifalme na haitoshi muislam,muda siyo mrefu akadhihirisha utapeli na umaluhuni wake akijificha nyuma makundi fulani fulani ya waislam.upande wa ustawi na jami MR anazo rekodi za aibu nyingi sana, kama vile kuwaowa wanawake na kuwaacha bila sababu huku akidai kuwa ana haki nao.tumepata habari za karibu yake zinatufahamisha kuwa kamuacha mkewe kwa njiya ya simu huko (d s m)ambaye alikuwa muandishi wake. na mke wake wa kwanza anaitwa kwa jina la kurusumu ambaye alimuacha na mimba huku akimlaghayi kuwa anakwenda kusoma (S A)akirudi watakuwa pamoja na kuendeleza maisha aliporudi zawadi alimleteya ni talaka,katika harakati za kutafuta mchumba bwana huyu hakutosheka hadi alipokwenda kuvunja uchumba wa kijana kama mdogo wake wa mtaa mmoja alipoingiliya familiya hiyo na vitisho na ubabe kuonesha ana mali na uwezo mkubwa sana ki maisha huko mtaani nyakabiga 9av kwa kukubali kurudisha mahari pia gharama zote alizozifanya mcumba wake kisha ndowa hiyo ilifanyika chini ya upinzani ya baadhi ya wana familiya .na bwana huyu pale asiyetosheka aliendeleya kuwarubuni wake za watu hadi alipofumwa na mkee pia vile vile wa kijana kama mdogo wake(oua)tarafa ya kabondo ambapo kitendo hicho angeliadhibiwa vikali na kutozwa faini lakini kaka yake huyu alisimama na kumuokowa ili kuepuka mfarakano katika jamii ya kiislam haliya kuwa anaitwa ni sheihk.kwa aibu ikabidi aondoke kwenda nairobi na dsm alipofika huko alipokelewa vizuri na kujitakasa mbele ya jamii ya kiislam akitumiya jina muwakilishi wa Muslim Congress.baada ya muda mke wake huyu aliyemuowa kwa kurudisha mahari akanza kuchoshwana mambo ya mmewe zaidi udhinifu na kutompa haki zake kama mke ndipo alimkimbiya na watoto wake wawili hadi buja,mwenye lwake haluachagi bwana huyu akaamuwa kumuowa msichana mdogo wa miyaka isiyozidi 15 hapo dsm maajabu nikuwa ndowa hiyo haikudumu zaidi ya mwezi,halafu hakuchoka na umaluhuni wake akaanzisha shirika la kina mama wa kiislam la kusaidizana na kuzunguuka nchi nzima ili
wafahamiyane na wenzao,ilikuwa siyo mbaya lakini ikawa ni njiya ya kukutana
na baadhi ya kina mama ki udhinifu,malalamiko yakawa mengi kwa wenye wake
zawo mpaka kumshtaki,aliitiswha kwa aliyekuwa makamu wa rais Abdu-jumbe
ilikutowa muelezo wakati viongozi hawa walikuwa wamekwisha dhamimi mradi
wake huo na kumlazimisha kwanza aowe haraka kabla ya mazungumzo ya a ina
yeyote ile,ndipo alimuacha mkewe na kumrejeya yule alikuwa kaachika kwa
njiya ya simu,tazama sasa ufedhuli wahuyu anaeitwa mwana baraza la wazee
wenye busara na hikma katika chama cha cndd/fdd ya ngozi akizidi utapeli
wake alipodhaminiwa na mairie wa buja mjini kuwa ameunda shule ya
kuwasaidiya ma yatima na watoto mitaani kwa kuwafunza elimu na kazi <etalibu hakuchoka hadi alipomshirikisha rais na kumuomba kuunga mkono maendeleyo ya shule hiyo,sasa ndugu zangu tazameni safari ndefu ,uongo, utapeli,udhinifu alifanya huyu bwanaMR na bado anaendeleya tusubiri tutayaona mengi zaidi ikiwa atazidi kupewa nafasi na lazima atazitumiya, lakini hadi lini ?

 

 

horizontal bar
 

Burundi Transparence © 2007